CHUNUSI


Afya ni kitu cha muhimu sana tena sana bila afya hakuna maisha reo naomba nizungumzie kuhusu CHUNUSI chunusi ni moja ya ugonjwa ambao huwasumbua wengi sana ila reo nakupa tiba na nakupa kisababishi cha chunusi. HUSABABISHWA husababishwa na muongezeko wa mafta mwilini ambapo mafta hayo hujiwekeza kenye mishipa midogo midogo ya damu hivyo kushindwa kupitisha damu na sehemu hiyo hugandana mafuta mwisho pata vimba pakivimba huwa pana uma pakiuma hata rangi hubadilika ila sasa ushauri. USHAURI ushauri ni kwamba usipende kupasua kwa kitu chenye incha kali kwa sababu utasababisha uharibifu wa sura unacho takiwa kufanya. FANYA HIVI reo nakupa dawa moja siku nyingine nitakupa nyingine sasa utafanya hivi chukua kitungu swaumu na penda kupaka kila siku jioni ukitaka kulala kwer huwa kina harufu kari ila sasa vumilia tumia kwa mda mrefu usije kuacha niyamuhimu sana tukutane wiki ijayo nitakupa dawa nyingine. www.ayubuhenry.blogspot.com