kuwa nasi tukufunze umhimu wa kuwa na mwili wenye mazoezi nikiwa na maana mwili kuupa mazoezi
kiutaramu mwili unahitaji mazoezi ili kuyeyusha mafuta yaliyoko mwilini mpaka sasa ni watu wachache kama siyo wazungu wanao fanya mazoez mara kwa mara
ewe mtanzania na mwafrika penda mazoezi linda mwili kumbuka mwili ni zawadi kutoka kwa mungu muumba jalibu uitumie pindi wewe uhait;" trbidi="on">