OMMY DIMPOZ

ommy dimpoz kutoa pini mpya ambapo ukiusikiliza utakugusa lakini mbali kuwa katoa wimbo mpya jama ametoa na video yake,
ni mziki mzuri lakini humo ndani kamtaja diamond platnumz na mwenzake alie tajwa yaani diamond hivi juzi katoa wimbo mpya unaenda kwa jina la utanipenda.


usijali ukitaka mziki huo upo ndani ya ayubuhenry.blogspot.com