DUNIA: Ni sayari ya tatu kutoka kwenye mfumo wa jua na ni sayari peke inayo ruhusu uhai na ina satilite moja asiri inayo izumguka ambayo kitaalamu inaitws lunar ambapo inazunguka dunia mara28 kwa awamu ya kwanza Dunia ni sayari yenye kipenyo12,756 na ina umbali wa kilomita milioni 149.5 na harjoto yake ni 20° mda wa kuzunguka jua inazunguka mara1 wakati imejizungusha yenyewe kwenye mhimili wake ni mara 365¼