MTOTO WA AJABU

Mtoto wa ajabu:
mtoto huyu ni moja kati ya watoto wanao zaliwa na upungufu matatizo haya yamekuwa mengi sana katika uso wa dunia,    tunasema yote hupangwa na mungu lakini tujitahidi kuanda afya ya mama mjamzito.

nchi zilizo enderea kama nchi za huku amerika na huko asia ndo mara nyingi hukumbwa na tatizo la namna hiyo ila wanasayansi watafiti wanasema mara nyingi tatizo hilo lilisababishwa na bomu lililo lipuliwa huko japani vita iliyo kuwako kati ya marekani na japani wakati huu ndo wakati ambao japani ilipigwa bomu na kwakuwa bomu lile niaina ya nuclear  ambapo bomu hilo liliathiri kitu tunacho kiita gene ambapo ziliharibika hivyo usikiapo watu wanatengeneza mabomu aina hiyo toa taarifa ili watu wajue ili kuponya dunia.


MUNGU AILEHEMU DUNIA