SAYANSI YA ANGA: reo hii nimeamua nikuretee mambo mazur sana nadhani tunakumbuka darasani na baadhi ya vitabu vya jiografia na baadhi ya vitabu vya maarifa ya jamii tuliona kuwa JUA ni nyota ambayo humiliki sayari tisa lakini reo nakuletea habari kuwa kuna sayari nane hii nikwasababu kuwa pluto haina sifa za kuwa sayari hivyo zilibaki zabaki,zuhura,dunia,mihiri,sumbula,salateni,zohali kausi yaani pulto ndiyo iliyo futwa sasa nakuomba mwenzangu unaependa makara haya subili wiki ijayo tutaenderea ni ndani ya HABARI ZA ANGA..