NDEGE YA AJABU

Ni ndege kubwa ambayo imetengenezwa na kampuni ya hybrid air vehicles inasemekana itakuwa ndege ya kwanza duniani kuwa kubwa na inauwezo wa kubeba watu wengi kuliko zote duniani na kilogramu nyingi kuliko ndege nyingine.

Pia inasemekana haihitaji umuhimu wa uwanja wala mini,inauwezo wa kutua majini na nchi kavu hivyo ni ndege ya ajabu.
Inaitwa airbus.

Tukutane twitter,instagram,facebook.kwa habari zaidi kwa jina la ayubu henry