UGONJWA WA JICHO huu ni ugonjwa unao shambulia retina kwenye jicho.Jicho nikiungo mhimu sana sawa na viungo vingine kwenye mwili wakati wote viungo vya mlango wa fahamu hushambuliwa sana na matatizo mengi.
Ugonjwa huu hushambulia retina baada ya mtu kuumwa ugonjwa wa kisukari.
Usikiapo maumivu muone doctor aliopo karibu yako fanya hima ili uokoe macho yako na pindi usikiapo mtu anatatizo mpe ushauri na muelekeze hospital
Fanya hivyo uokoe taifa na dunia kwa ujmla.