Raisi John Magufuri

leo raisi pombe josephu ametangaza na kuteua viongozi wa takao tawa mikoano yaani wakuu wa mikoa,
amesema kuwa haitakiwi vijana kuka kwa kuto fanya lolote.
unakuta vijana wanaamka na kuamkia michezo ya ajabu ajabu,pulu tebo na mengine mengi.

kijana anahitajika awe chanzo cha maendele na asiwe chanzo cha matatizo.